Podcast (Swahili episodes) - Australian Life

Date
6 July 2021
Category
Settlement Skilled Migration Service

AMES Australia's Humanitarian Settlement Program (HSP) team have created a podcasts series, Australian Life Podcast by AMES Australia, in multiple languages that offer information to clients on a variety of topics related to their settlement journey. They will be provided to clients in hotel quarantine and cover subjects including: driving licenses and laws, childcare and kindergarten; Victoria's justice system; AMEP and language schools for children, access to health services and fire safety. More podcasts on a range of other topics are in the process of being developed with the intention of enhancing clients' orientation and settlement in a new country.

Karibu tena kwa kipindi cha ‘Maisha ya Australia” kupitia mtandao kutoka AMES Australia.
Kwa hiki kipindi tutaangalia bei, upatikanaji na madhara ya chanjo ya Covid19. Kwa habari zaida kuhusu AMES, tembelea www.AMES.net.au

Kwa kipindi cha leo, tutaongea kuhusu utaratibu wa quarantini kwa watu wote wanaowasili Australia, wakiwemo wakimbizi. Wacha tuanze!

 

Kuisihi kwa usalama ni wajibu wetu sote ambaye tumeisihi Australia. Tukitaka kulinda familia, marafiki na jamii, sote tunaweza kufanya marekebisho kadha. Wacha tuongee kuhusu hizi marekebisho kwa kipindi cha leo cha Maisha ya Australia kutoka AMES Australia

Leo tutongea kuhusu soko ya mayumba ya Australia, na usaidizi unaoweza pata ukitafuta nyumba. Tutaongea kuhusu tofauti wa nyumba za kukodesha za watu kibinafsi na nyumba za umma. Wacha tuanze!

Producers: 

  • Mirta Saponja and Anthony Ferretto

Special thanks to AMES Australia team members for presenting in language episodes
Listen to the podcast in other languages

 


Tags
Useful General Info IPP, Asylum Seekers & Refugees Information Job Seekers Resources Partnerships, Volunteers, #WithMe, #WithAMES